BAO la kiungo Muivory Coast, Peodoh Pacome Zouzoua dakika ya 54 limeipa Yanga ushindi wa 1-0 dhidi ya mtani, Simba SC katika mechi ya Ngao ya Jamii jioni ya leo Uwanja wa Benjamin Mkapa, Temeke, Dar es Salaam.
Huo ni ushindi wa sita kwa Yanga dhidi ya Simba na kudhihirisha kwamba Yanga ni baba la Simba