Viongozi wa Simba SC wamemsisitizia Kocha mkuu wa Simba SC, Fadlu Davids kuwa wana mipango thabiti kwa msimu mpya na wakimtaka asiondoke klabuni hapo kwasababu bado wanahitaji huduma yake kwa msimu 2025-26
Fadlu alishaandika barua kuwa anahitaji kuondoka Simba SC baada ya kuona hakuna utendaji mzuri wa kiuongozi pale Simba SC, kwa upande wa Viongozi wa Simba wanapambana kumbakisha na mazungumzo yanaendelea katika kambi ya Simba nchini Botswana