Mtoto wa nyoka ni nyoka ndivyo ilivyo kwa familia ya Mgosi,Mgosi Junior ni mtoto wa Mussa Hassan Mgosi ambaye ni mchezaji wa zamani wa SimbaScTanzania
Mgosi Junior anacheza nafasi ya kiungo mkabaji timu ya Kagera Sugar Fc senior team baada ya kupandishwa akitokea timu ya vijana kwa msimu uliopita
"Sina shaka na uwezo wa kijana wangu , tena namuona yeye ananafasi kubwa ya kufanya mambo mazuri zaidi yangu" - Mussa Mgosi