Kocha mkuu wa timu ya Willete ya Angola ambao ni wapinzani wa Yanga, Bruno Ferry amesema wao wanatambua kuwa Yanga ni klabu kubwa hivyo watakabilisna nayo.
''Yanga ni timu kubwa Afrika, ni mtihani mgumu kwetu, lakini ni changamoto nzuri kwetu, na tuko tayari kuikabili”
'' Utakuwa ni mchezo mgumu kutokana na ubora wa Yanga ila tumejiandaa kikamilifu Kupambana nao.''
Maneno ya Kocha wa mkuu wa klabu ya Wiliete Benguela - Bruno Ferry.