"Klabu imefungiwa kufanya usajili kwa miaka mitatu, inanilazimu nitumie wachezaji vijana ambao wanajitafuta, klabu inasubiri dirisha la usajili la majira ya baridi, kwasababu FIFA inaweza kuruhusu usajili."
Miloud Hamdi kuhusu kufanya vibaya kwenye kikosi chake cha Ismaily FC, akiwa nafasi ya 20 kwenye msimamo wa Ligi kuu Misri.