Fountain Gate inadai kwamba wamebakiwa na wachezaji wachache sana wanaoweza kuwatumia hivyo wameomba kuwa mechi zao za ligi zisogezwe mbele.
Wao wanasema walikamilisha taratibu zote za Usajili lakini tatizo la mfumo wa Usajili na vibali umesababisha shida hii itokee..
Hivyo mechi yao dhidi ya Simba SC wameomba isohezwe mbele ama sivyo watashindwa kucheza