Taarifa za uhakika Kabisa Kutoka nchini Morocco ni Kwamba Kocha wa Simba Sports Fadlu Davids anakaribia Kabisa Kujiunga na moja ya timu Kubwa nchini humo.
Chanzo changu Kinanitaarifu Kwamba Fadlu Davids amepewa Offer ya Mshahara Mara 3 ya ule ambao anapewa na Simba Sports.
Simba Sports wanatokwa Jasho Kumbakiza Lakini Kwa Mujibu wa Chanzo changu 80% Fadlu Davids na Simba Sports imeisha na anaondoka na benchi lake lote la Ufundi.