“Baada ya jana kuwafunga Simba tulirudi vyumbani tukiwa na furaha kubwa,kocha Roman Folz,alipoingia alikuta tunashangilia kisha akatwambia kaeni chini haraka,hii ni mechi ya Bonanza mechi kamili ni dhidi ya Wiliete SC weekend hii,basi ikabidi tukae kimya wote”
Amesikika mchezaji mmoja wa Yanga akisema.