WENYEJI, Uganda wametupwa nje ya michuano ya Ubingwa wa Mataifa ya Afrika (CHAN) baada ya kuchapwa bao 1-0 na mabingwa watetezi, Senegal jioni ya leo Uwanja wa Taifa wa Nelson Mandela Jijini Kampala.
Bao pekee la Simba wa Teranga lililowaondoa mashindanoni The Cranes limefungwa na mshambuliaji wa Union Sportive GorĂ©e…