KATIKA mzunguko wa 3 wa Egypt premier league (EPL), Klabu ya Pyramids walitoka sare ya 2-2 dhidi ya Al-Masry.
Fiston Mayele alifunga bao mnamo dakika ya 65, Mshambuliaji huyo wa Kongo imemchukua Dakika 238 kufunga bao lake la kwanza Kwenye ligi hio Bora barani Afrika.
Mechi inayofuata Kwa Pyramid ni dhidi ya Modern Agosti 25, 2025.