"Hatuna ligi nzuri kama Tanzania au Morocco, hatuna mchezaji kama Clement Mzize ambae peke yake tu anaweza akabadilisha mchezo lakini tunajituma kwa bidii na kwa kushirikiana ili tufanikiwe".
Kocha Mkuu wa timu ya Taifa ya Madagascar Romuald Rakotondrabe akizungumza na waandishi wa habari nchini Kenya kuelekea mchezo wa Robo fainali ya CHAN 2024 kati ya Madagascar dhidi ya Kenya kesho Ijumaa saa 11:00 jioni .