Kikosi cha Azam FC kipo nchini Rwanda kikiwa kikiendelea na maandalizi ya msimu mpya wa Ligi Kuu Tanzania Bara 2025/26 chini ya kocha mkuu kutoka DR Congo, Florent Ibenge.
Azam FC imetangaza orodha ya michezo ya kirafiki itakayochezwa nchini humo kama sehemu ya maandalizi yao ya msimu mpya.
π±π π³π¨π‘π πΈπ π¬π€π’π§π¨ πΉπ πͺπ¨π±π π₯π¨πͺπ¨.
○ Agosti 19: vs Police FC (Rwanda)
○ Agosti 21: vs AS Kigali (Rwanda)
○ Agosti 24: vs APR (Rwanda)
○ Agosti 29: vs Vipers (Uganda)