Mshambuliaji wa klabu ya Simba SC, Lionel Ateba amesaini mkataba wa miaka miwili (2) yakuitumikia klabu ya Al - Shorta ya nchini Iraq.
Klabu ya Simba SC kwa deal hilo wamepata $300,000 ambayo ni sawa sawa na Million 740 za kitanzania.
Al shorta msimu Jana yaani 2024/2025 walimaliza nafasi ya kwanza (1) na alama 87 hivyo Timu hio itashiriki kombe la mabingwa barani Asia ( Asia Champions league