Klabu ya Simba SC imekamilisha usajili wa Mlinzi wa Kushoto, Miraji Abdallah Zambo Jr, kutoka Klabu ya Coastal Union.
Nyota huyo alikuwa na Kiwango cha kuvutia sana akiwa na Klabu ya Wanamangishi ambao amewaaga msimu uliotamatika , sasa miraji anakwenda kuchukua nafasi ya Mohamed ambae ameondoka Klabuni hapo.