Timu ya Taifa ya wanawake Twiga Stars imeitoa timu ya Taifa ya Equatorial Guinea kwa jumla ya mabao 4-2, baada ya leo kufungana mabao 1-1 mchezo wa kufuzu fainali za wanawake WAFCOM 2026.
Goli la Twiga Stars limefungwa na Enekia Kasonga.
Twiga Stars watakutana na Ethiopia katika hatua inayofuata ya kufuzu kwa WAFCON 2026.