Skudu Makudubela atua AS Vita

Mchezaji wa Zamani wa Yanga Skudu Makudubela (34) amesajiliwa na klabu ya As Vita club ya Dr Congo.

Skudu amesaini mkataba wa miezi nane (8) wenye kipengele cha kuongeza mwaka mmoja(1) mwingine.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA