Msuva apiga assist, timu yake ikishinda 2-0, Iraq

Nyota wa Tanzania Simon Msuva ameisaidia timu yake ya Al Talaba kupata ushindi wa mabao 2:0 dhidi ya Amanat Baghdad FC kwenye mchezo wa FA Cup ya Iraq, Msuva ametoa pasi ya usaidizi (Assist) katika mchezo huo.