M-Bet yatishia kusitisha mkataba Simba

Mdhamini mkuu wa Simba Sports Club, Kampuni ya kubashiri M-Bet imeomba kusitisha mkataba wake na Simba mwishoni mwa msimu huu wa 2024/2025.

Klabu ya Simba kwasasa ipo kwenye hatua za kutafuta mdhamini mkuu mpya, Simba SC imeonesha kukubali ombi la M-Bet kusitisha nao mkataba.