Beki Chamou Karaboue huenda akapewa mkono wa kwaheri na Klabu ya Simba baada ya tu ya msimu huu wa mashindano kutamatika.
Chamou amekosa nafasi katika kikosi cha kwanza cha Kocha Fadlu Davids mbele ya Abdulrazack Hamza na Che Malone na Viongozi wa Simba wanaona hakuna haja ya kuendelea naye msimu ujao.