Uongozi wa klabu ya Simba umeulizia uwezekano wa kumpata mshambuliaji Celestin Ecua raia wa Ivory Coast katika klabu ya Zoman FC ambaye yupo kwa mkopo Asec Mimosas.
Mechi Mbili za Shirikisho kafunga Mabao Mawili.
Inasemekana jamaa ana matukio matukio uwanjani ni kama Drogba