Taarifa zinaripoti kuwa Klabu ya Simba SC ya Tanzania inawinda saini ya mlinzi wa kulia wa Klabu ya TP Mazembe, Ibrahim Keita , ilikujiunga na Simba SC katika dirisha kubwa la usajili.
Nyota huyo bado hajasaini mkataba mpya na Klabu ya TP Mazembe huku akiwa amebakiwa na mkataba wa miezi sita tu katika Klabu yake, bado mazungumzo ya kuongea mkataba yanaendelea katika Klabu ya TP Mazembe lakini bado mchezaji hajaonesha kuhitaji Kusalia katika Klabu ya TP Mazembe.
Ushawishi ambao unamvutia nyota huyo ni ushindani wa ligi kuu Tanzania bara lakini pia ushawishi wa baadhi ya wachezaji kutoka katika ligi ya Congo wanao cheza NBC