Yanga yasisitiza kumsajili Lawi
Klabu ya Yanga SC ipo serious sana na inaendelea na mazungumzo na klabu ya Coastal Union FC ili kupata huduma ya beki Lameck Lawi katika dirisha hili la uhamisho
Coastal Union wapo tayari kumuuza Lameck Lawi ikiwa Yanga SC watafika kiasi ambacho wanakihitaji mezani.