Yanga yamsainisha Ikangalombo
Yanga SC imekamilisha usajili wa mshambuliaji wa AS Vita Club ya DR Congo Jonathan Ikangalombo (22)
Nyota huyo anamudu kucheza kama mshambuliaji wa kati lakini pia kama kiungo mshambuliaji wa pembeni.
Jonathan anatarajiwa kuwa mbadala wa Jean Othos Baleke ambaye anacheza Yanga SC kwa mkopo akitokea TP Mazembe
Jonathan anatarajiwa kutambulishwa siku chache zijazo kuanzia leo.