Uongozi wa Klabu ya Yanga haupo kwenye mazungumzo yeyote ya kuongeza mkataba mpya na Mshambuliaji wao raia wa Zambia Kennedy Musonda (29) ambaye walimsajili Msimu wa 2022/23 akitokea Power Dynamos ya nchini Zambia
Musonda kwa sasa anapitia kipindi kigumu ndani ya kikosi cha Yangu . Kipindi ambacho kinamwandama musonda kimeambatana na kuporomoka kwa kiwango chake ndani ya kikosi cha Yanga
Vilabu vya Tp Mazembe, Al ittihad Qatar, vimeonyesha nia ya kumhitaji nyota huyo pindi tu dirisha kubwa litakapo funguliwa na kama hatoongeza mkataba na Yanga