Watatu Yanga wajumuhishwa kikosi cha CAF
Wachezaji watatu wa Klabu ya Yanga SC wameingia kwenye kikosi cha wiki cha Ligi ya mabingwa barani Afrika.
Kwa mujibu wa chapisho la mtandao wa CAF, wachezaji hao ni pamoja na mlinda lango wao Djigui Diarra, Dickson Job na Stephanie Aziz Ki.
Wachezaji hao wameonesha uwezo mkubwa mpaka CAF imewajumuhisha kwenye kikosi cha wiki