Uwezekano mdogo Bangala kutua AS Vita
Uwezekano ni mdogo sana wa Kiraka Yannick Bangala kujiunga na klabu ya As Vita na hii ni baada ya kushindwa kufikia makubaliano yake (mahitaji yake),
Kumbuka Yannick ni Mchezaji huru tangu aachane kwa makubaliano ya Pande zote mbili na Qaliokuwa Waajiri wake Klabu ya Azam,
Uongozi wa klabu ya As Vita umepanga kurejea tena na ofa bora zaidi siku ya kesho (Jumanne)