Tabora United wakamilisha vibali vya wachezaji wake wa kigeni, Simba sasa kazi wanayo

Hatimaye Tabora United wamefanikiwa kulipia vibali vya Wachezaji wote saba waliosajiliwa dirisha dogo.

Mwanengo, Mustapha, Akandwanaho, Cedric Zemba, Fikirini, Jean Noel na Chobwedo Wamekamilishiwa taratibu za kupata leseni.