Simba yaifanyia umafia mkubwa Yanga kwa Nzengeli

Timu ya soka ya Simba Sports Club imemalizana na timu ya Meniema Union kutoka DR Congo kuhusu mchezaji wao Max Mpia Nzengel.

Mchezaji huyo yupo hapa nchini katika timu ya Yanga kwa mkopo na timu ya Simba Sports Club ndiyo chanzo cha mchezaji huyo kugoma kusaini mkataba mpya.

Ndiyo maana kupitia Account yake Semaji (Ahmed Ally) kasema Kwamba Meniema Union ya Congo wamekula pesa yetu ndefu sana kwa hiyo mtachagua wenyewe,mtupe mchezaji wetu sasa hivi au tusubiri mwisho wa msimu