Beki wa kushoto Benson Mangolo amefanikiwa kuvunja mkataba wake na Singida Black Stars.
Mkataba huo ulikuwa unamalizika Juni, 2026.
Kwasasa yupo kwenye hatua za mwisho za kujiunga na Mochudi Centre ya nyumbani kwao Botswana kwa mkataba wa miezi mitano.