Novatus Dismas aing' arisha Goztepe

Kiungo Novatus Dismas amefunga bao moja kati ya mawili waliyofunga Göztepe kwenye mchezo wake dhidi ya Fenerbahçe wa ligi kuu ya Uturuki 'Super Lig'.

Göztepe wamepoteza mchezo kwa mabao 3-2