Ngasa, Wasswa na Mariga waula CHAN
Magwiji wa soka Hassan Wasswa Mrisho Ngasa na McDonald Mariga wechaguliwa na CAF kuendesha droo CHAN mwaka huu
Droo itafanyika Jumatano hii Januari 15 Kenyatta International Conventional Centre jijini Nairobi, Kenya
Mashindano ni Februari 1-28, 2025