Natembelea Mazda ya milioni 40- Inspekta Haroun
Msanii mkongwe wa muziki wa Bongo Fleva @inspectorharoun amewajibu baadhi ya watu wanaosema amepotea na anaishi maisha magumu baada ya kupotea kimuziki
"Natembelea Mazda ya milioni arobaini ( 40 ) nafanya na biashara zangu watu wasinichukulie poa " Alesema @inspectorharoun