Nabi bado anamtaka Mayele

Fiston Mayele bado yupo kwenye Rada za klabu ya Kaizer Chiefs.. Klabu Mpya kutoka Nchini Saudia Arabia waliwasilisha ofa yao rasmi .

Al Riyadh Football imetoa zaidi ya euro milioni 1 kumkaribisha mfungaji huyo wa Kongo, mazungumzo yanaendele na klabu yake ya Pyramid FC ya nchini Misri.