Mwamuzi wa Tabora United na Simba SC huyu hapa

Amina Kyando ndiye mwamuzi atakayechezesha mechi ya Ligi Kuu ya NBC kati ya Tabora dhidi ya Simba Feb. 2 ndani ya uwanja wa Ali Hassan Mwinyi

Mbali ya Kyando kusimama katikati, wasaidizi ni Luhemeja na Fatma Mambo

Mara ya mwisho kwa Amina kuchezesha mechi ya timu hizi ni Mei 6, 2024 Simba ikishinda 2-0