Msuva atupia tena Iraq

Nyota wa Tanzania Simon Msuva ameisaidia timu yake ya Al Talaba kupata ushindi wa mabao 2-0 kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Iraq dhidi ya Karbalaa FC.

Msuva amefunga bao moja kwenye mchezo huo.