Mashujaa FC yaibomoa Singida Black Stars


Mashujaa Fc imekamilisha usajili wa beki wa kushoto Yahya Mbegu kwa mkopo wa miezi sita kutoka Singida Black Stars wenye kipengele cha kumsajili moja kwa moja kama mchezaji huru mwishoni mwa msimu.

Mkataba wa Mbegu na Singida unamalizika mwishoni mwa msimu huu

Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA