KMC yaibomoa Tabora United kwa Chikola
Kwa mujibu wa vyanzo mbalimbali Klabu ya KMC imekamilisha usajili wa mshambuliaji Offen Chikola kutoka Tabora United
Mshambuliaji Offen Chikola amekuwa na msimu bora sana na anachukua nafasi ya Elias Mao ambaye anakabiriwa na majeraha ya mara kwa mara.