KenGold hawatanii, yampora beki kisiki Pamba Jiji
Klabu ya Kengold SC imekamilisha usajili wa beki wa kati Kelvin Yondani (40) akiwa Mchezaji huru
Beki wa kati Kelvin Yondani amejiunga na Kengold SC baada ya Pamba Jiji FC kushindwa kutimiza mahitaji yake aliyohitaji hapo awali.