Katumbi kila goli la TP Mazembe kutoa mil 100
Tajiri wa TP Mazembe Moise Katumbi katoa ahadi ya kununua kila goli litakalofungwa na klabu yake yaan TP Mazembe.kila goli atanunua kwa Tsh Million 100.
Wakati goli la Mama likiwa ni Million 5 ,kuna mwanaume kutokea Congo kaweka million 100 kila goli.kupitia mtandao wake Katumbi katenga kitita cha zaidi ya Sh million 400 Kwaajiri ya Mechi Hiyo.