Israel Mwenda mechi moja assist mbili

Kwa mara ya kwanza akicheza mchezo wake wa mashindano, beki wa kushoto Israel Mwenda jana aliweza kuhusika katika mabao mawili katika ushindi wa mabao 5-0 dhidi ya Copco FC ya Mwanza.

Mwenda alijiunga na Yanga akitokea Singida Black Stars lakini kabla ya kwenda Singida, alikuwa anaichezea Simba SC, ametoa pasi za mwisho (assist mbili) well-done.