Ibenge alia kufungwa na Yanga
Kocha mkuu wa timu ya Al Hilal ya Sudan Florent Ibenge amesikitika timu yake jana kufungwa na Yanga kwani anaidai haina uwezo.
"Tumepoteza mchezo wetu wa kwanza kwenye mashindano haya ya CAF tumehuzunika sana kwasababu tulihitaji kushinda lakini mchezo wa mpira umeamua tofauti"
"Tulipoteza umakini kwenye mchezo na kupoteza nafasi nyingi za kufunga magoli lakini tunajipanga upya kushinda dhidi ya mchezo wetu na Tp Mazembe " Alisema kocha wa Al Hilal @florent_ibengeofficiel baada ya kupoteza mchezo dhidi ya Yanga"