Ibenge abadili gia angani

Kocha wa timu ya Al Hilal ya Sudan Florent Ibenge amebadili gia angani na kudai kwenye mchezo wake wa kesho atatumia kikosi cha pili ili kuwaandaa katika mchezo wa mwisho.

"Mechi yetu dhidi ya Yanga SC kutakuwa na mabadiliko ya baadhi ya wachezaji ambao nitawapa nafasi ili wengine wapumzike kwaajili ya mechi zijazo, hii mechi ni muhimu kwa wachezaji wangu kupata nafasi na wala si mechi ngumu kwetu".

Florent Ibenge, Kocha wa Al Hilal Omdurman akihojiwa na moja ya kituo cha habari cha online.


Machapisho maarufu kutoka blogu hii

HISTORIA YA TIMU YA MASHUJAA YA KIGOMA, KUMBE NI SHEA YA JESHI NA WANANCHI

STAA WETU: JEREMIA JUMA MTOTO WA JUMA MGUNDA ALIYEIKACHA SIMBA NA KUENDELEA NA UASKARI

MAKALA: SIMBA NI TIMU YA KWANZA TANZANIA KUINGIA NUSU FAINALI AFRIKA