Husnath Ubamba azidi kung' ara Ligi Kuu Misti
Nyota wa Tanzania Hasnath Ubamba na timu yake ya FC Masar wamepata ushindi mwingine wa magoli 4-1 dhidi ya timu ya Right to Dream kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya Misri.
Hasnath pia ni mchezaji wa timu ya taifa ya wanawake ya Tanzania Twiga Stars na amekuwa kwenye msimu bora kwasasa