Beki wa kushoto wa Klabu ya Goztepe ya Uturuki Novatus Dismas raia wa Tanzania amesema kwamba Clement Mzize ni mmoja kati ya mchezaji aliyekuwa akitajwatajwa na viongozi wake yake.
"Zaidi ya mara mbili viongozi wangu waliniulizia Mzize na hasa baada ya mechi ya Yanga na TP Mazembe baada ya kuona video zake naamini ni suala la kusubiri."
Amesema Novatus Dismas NBeki wa kushoto wa Göztepe ya Uturuki