George Mpole atua Singida Black Stars
Singida Big Stars wanakalibia kukamilisha Usajili Mshambuliaji wa Pamba JiJi FC George Mpole kwa Mkopo wa Miezi Sita.
Uongozi wa Pamba haujaridhishwa na kiwango cha Mpole tangu alipojiunga na Klabu hiyo Msimu huu akitokea FC lupopo ya DR. Congo, Mpango wao ni kumtoa kwa Mkopo.