Anaitwa Eliza Tungu ni mshika kibendera anaetumika zaidi kwenye michezo ya ligi za vijana pamoja na Ligi ya wanawake nchini Tanzania.
Bado yupo katika hatua za awali kabla ya kupandishwa hadhi na kuwa miongoni mwa waamuzi wasaidizi watakaotumika kwenye michezo ya Ligi Kuu bara pamoja na michezo ya kimataifa iliyopo chini ya CAF na FIFA.
PISI MOJA KALI SANA π₯ππ₯°