Duke Abuye kutemwa Yanga
Huenda klabu ya Yanga SC ikaachana na kiungo mkabaji wake Duke Abuye raia wa Kenya mwishoni mwa msimu huu.
Taarifa zilizopo ni kwamba Yanga haijamfuata Abuye kwaajili ya kuongeza kandarasi yake hivyo mkataba wake unaishia Juni 2025 na sasa atakuwa mchezaji huru