Diakite akaribia kutua KMC
Kiungo mshambuliaji wa klabu ya Azam na Mali Cheikna Diakite anakaribia kujiunga na KMC kwa Mkataba wa Mkopo wa Miezi Sita.
Diakite ndiye aliyeomba atolewe kwa Mkopo baada ya kukosa nafasi klabuni hapo hivyo anaamini KMC ni sehemu sahihi kwake kwenda kuongeza Ubora wake