Clara Luvanga aiongoza Al Nassr FC kuongoza ligi Saudi Arabia
Nyota wa Tanzania Clara Luvanga na timu yake ya Al Nassr FC mpaka sasa wamekusanya alama 27 baada ya kushinda mechi zote 9 za mzunguko wa kwanza Ligi Kuu ya Saudi Arabia, wakikamata nafasi ya 1 kwenye msimamo