Chasambi yamkuta makubwa Simba
Ladack chasambi ameondolewa kwenye group la wachezaji wa simba la whatsapp kaondolewa na Zimbwe jr ambae ndiye admin wa group hilo
Pia Ladack amewa unfollow Simba kwenye mtandao wa Instagram na amefuta picha zote alizopiga na jezi ya Simba